Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako Mahitaji Microwave safe bowl Limau 1 Maji nusu kikombe Kitambaa safi Namna ya kusafisha Weka maji katika bakuli na kamulia limau...
6 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari zenu??? Mimi ni mgeni humu, nilikuwa naoma msaada wa anaejua jamani.
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Mahitaji 1)sukari (granulated sugar) 1cup 2) mayai 4 3)maziwa kikombe 1 4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1 5)unga wa ngano 2 cups 6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla...
14 Reactions
81 Replies
29K Views
Za saa hizi, Hamna ubuge ninaoupenda kama sukari guru,ulaini laini wake kama keki na sukari tu,taaaaamu! Kibaya huku kwetu zinapatikana kwa nadra sana kwa msimu. Napenda kuzipika mwenyewe kila...
0 Reactions
21 Replies
23K Views
Ningependa kujuzwa jinsi ya kupika chillie sauce.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wandugu anayejua kutengeneza Ice Cream zikawa kama hizi za Azam aniambiee. Napenda sana ice cream. Napenda kujua zinavyotengenezwa.
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Msaaada wana JF. Mimi ni mpishi mzuri tu wa cake. Sasa next week nina birthday ya binamu yangu. Nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa). Kwa wanaojua ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nikiwa mjini Tanga STIMA ni chakula maarufu sana mjini hapo, ni tamu sana na watu wengi hulisifia sana, unapata STIMA ya kuku, mbuzi au ng'ombe. Sasa mimi natamani sana kujua namna ta kulipika...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Natamani kujua kutengeneza kwa ajili ya kuwauzia wanafunzi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahitaji: - Karanga robo zisage ziwe laini kiasi - Mayai 5 tenganisha kiini na ute - Custard 4 teaspoon Baking powder 1/2 teaspoon - Sukari 450g - Hiliki 1/2 teaspoon - Arki flavor...
5 Reactions
15 Replies
15K Views
Mahitaji 1) Binzari ya pilau 250g 2) Karafuu kijiko kimoja cha kulia 3) Iliki 125g 4) Pilipili manga 100g 5) Mdalasini vijiti 10 vikubwa, vunja vunja Namna ya kutayarisha Weka sufuria...
12 Reactions
60 Replies
25K Views
Jinsi ya kutengeneza fruit salad ya nanasi, machungwa na maembe Mahitaji 4 vikombe vya mananasi yaliyomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo 2 machungwa yaliyomenywa na kukatwa vipande...
4 Reactions
12 Replies
18K Views
Mahitaji Unga kg 1 Sukari kiasi Hiliki Baking powder 1tea spoon Hamira 1table spoon Tui la nazi au maziwa Samli 3 table spoon Siagi 3 table spoon Yai 1 Mafuta ya kupikia Namna ya kutaarisha...
3 Reactions
48 Replies
11K Views
One of the pleasures of travel is getting to sample the local cuisine. But would you tuck in to a developing duck embryo straight from the egg in southeast Asia? Or sip fermented mare's milk in...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wanaukumbi. MUDA SI MREFU KAA TAYARI JIFUNZE KUTENGENEZA PIZZA KEKI MAHITAJI JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari ni ndugu, Natafuta mwalimu wa kunifundisha upambaji wa keki ili nijiajiri. NinaujuzI huo ila nahitaji kujua hiyo sana. Natak kujua sana na ntalipa kwa ajili ya hilo. Nipo DSM please...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa mwenye uzoefu tafadhali anieleweshe.
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Wengi ni wapishi lakini theory ya upish huu hatujui, mimi nitaanza kutoa elimu basics za culinary arts. Leo ni hiyo juu 1. Herbs ni mimea iwe imekauka au mibichi jitumika kwenye vyakula kupika au...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wadau natafuta mwalimu wa kunifundisha kupika keki na kupamba tafadhali email sharifadupont@yahoo.com kama yupo awasiliane nami kwenye email yangu tafadhali kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Upishi wa Visheti Vipimo 1.Unga 2 Vikombe 2.Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu 3.Maziwa...
2 Reactions
32 Replies
42K Views
Back
Top Bottom