Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Pengine umewai kujiuliza kwanini ukiifadhi viazi ulaya au viazi vitamu nyumbani havikai muda mrefu vikiwa vizima ,naamini mara nyingi umehifadhi viazi vikaaribika kwa kutoa maji,kutengeneza...
5 Reactions
9 Replies
7K Views
Eti wanjamvi..nimuwekee nini mbuzi choma anogeee had nijisikie kweli nimemla.. Kuna chef mmoja nilimuamini nikamkodi aliweka weka vikorombwexo hakuvutia kwakweli...nipeni maujuzi tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.Shukurani...
2 Reactions
4 Replies
13K Views
Recipe/Mapishi ya MAIDANA DEMARNY Mahitaji Maharage 1/2 Chumvi kijiko cha chai 1 Nazi kopo 1/ nazi ya kawaida 1 kubwa. Kitunguu maji 1 Kitunguu swaumu punje 2 Binzari kidogo Njia 1...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Recipe/Pishi la Raphia Hussein Mahitaji Ndizi Malindi 5 Nyama ya Ng'ombe½ kilo Vitunguu maji 2 Vitunguu saumu kijiko 1 cha chai Nyanya 3 Binzari ½ kijiko cha chai Chumvi kwa kiasi chako Hoho 1...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
  • Redirect
Najua ntapata ninachotaka humu.
0 Reactions
Replies
Views
PISHI LA SAMAKI WA FOIL MAHITAJI: -Foil, -Samaki, -Limao, -Soya Sauce, -Chumvi, -Karot, -Hoho, -Nyanya, -Garlic, -Vitunguu na Kabichi Unampaka kwanza samaki wako chumvi...
12 Reactions
52 Replies
20K Views
Haya jamani kwa sie tunaoenda kuolewa na wanaijeria aka wapopo tufundishane kupika vyakula vyao jalfrezi rice pepe soup egusi etc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale wenzangu wa huku jikoni hebu leo kila mmoja ataje chakula apendacho na anaandaje tugawane maujuzi ya mahanjumati..... Naanza mimi napenda afghani rice recipe yake hii apa ndivo naandaa hivi...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuepuka usumbufu wa kwenda kujisaidia unaposafiri pata huu mlo...! Mayai mawili tu ya kuchemsha na malta moja Mlo huu utakusaidia pia kama bajeti inabana kwakuwa hutaumwa njaa wala hutasikia kiu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Maji ya moto robo lita, yaliyochanganywa na asali mbichi vijiko vitano, na kijiko kidogo cha kitunguu saumu cha kusaga shushia na mayai mawili ya kuchemsha hasa ya kienyeji daily CHORDS THAT ARE...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali na watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa matumbo yanajaa ges au wana vimbewa. Kwanza hakikisha usiku kabla ya kulala...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Leo bwana nimetoka kuzurura nimerudi kulala aaa nikaona kila siku kula kwa jirani noma ngoja leo nikaushe nipike nikaingia rum kuangaza angaza kupika cha dakika 2 akili ikanijia fasta mchuzi wa...
22 Reactions
94 Replies
27K Views
Vaaaap napitia humu kila nikitoa jicho nakuta kila pishi ni mwendo wa saa liimoja.. Hebu wadau tushirikiane mapishi ya chap chap ya ki bachelor.... Kwangu napendelea kupika. 1. Tambi, nachemsha...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Wadau ninagombana na mama J hadi basi, mimi sioni shida ya kununua tetra boxed juice mfano Golden circle, Ceres, Delmontre etc nakunywa tu kwa vile naamini zile nembo za 'No added sugar'. On the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mix grille
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Waungwana naombeni msaada wa kupika pilau simple bila nyama mana uchumi hauruhusu
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wana jf chef naombeni mnijuze pilipili mboga ni zipi nimeona huku nikadhani ni hoho sasa sijui kama nimepatia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Description The contrasting textures of crunchy broccoli and creamy, soft avocado make this quick salad interesting and delicious. It is rich in monounsaturated fat and full of protective...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Wana jf chef naombeni mnaofahamu haya mapishi tushirikishane yaani mapishi ya sambusa, kababu nk.
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom