stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Naomba kuelekezwa namna ya kuandaa kababu za nyama enyi wapishi maridadi
Jamani inamaana hakuna ajuae pishi hilo? farkhina Angel Nylon
Hapo kwenye ingredients ongezea bread crumbs ambao utamix na nyama ili ijishike vyema
Ukiweka na kindimu kwa mbaali itanoga zaidi