Jinsi ya kutengeneza ice cream

Ketamine

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
825
785
Jamani wandugu anayejua kutengeneza Ice Cream zikawa kama hizi za Azam aniambiee.

Napenda sana ice cream.

Napenda kujua zinavyotengenezwa.
 
Natamani kujifunza kitengeneza icecreame ya vanilla, kama kuna mtu anajua atujuze
 
Back
Top Bottom