Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako
Mahitaji
Microwave safe bowl
Limau 1
Maji nusu kikombe
Kitambaa safi
Namna ya kusafisha
Weka maji katika bakuli na kamulia limau lako
Weka ndani ya microwave na washa kwa dakika 4
Ndani ya microwave kutafanya mvuke na vyakula vilogandia vitakuwa katika hali ya kunata
Chukua kitambaa na safisha vizuri futa kila kona
Kama bado haijasafika vizuri washa tena kwa dakika 2 then futa
Limau linasaidia kukata harufu ya vyakula na pia linau vijidudu vilivyogandia katika mabaki ya vyakula katika microwave