Mahitaji
1)sukari (granulated sugar) 1cup
2) mayai 4
3)maziwa kikombe 1
4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1
5)unga wa ngano 2 cups
6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla
7)dark cocoa powder 2 tablespoon
8)baking powder 1 tablespoon.
Namna ya kutaarisha
1)changanya sukari na mayai..tumia electric hand mixer au whisk beat kuchanganyia..hadi mchanganyiko uwe laini
2)weka maziwa na mafuta na endelea kuchanganya hadi vichanganyike vizuri
3)katika bakuli jengine changanya baking powder,vanilla powder na unga pamoja
4)weka huo unga kwenye mchanganyiko wako wa mayai na sukari...changanya
5)gawa mchanganyiko sehemu 2 sawa
6)sehemu moja iweke pembeni na nyengine weka cocoa yako na uichanganye vizuri..
7)mimina kwenye trey viwiko 3 vya mchanganyiko plain then weka vijiko 3 vya mchanganyiko wa cocoa...fanya hivo hadi imalizike...(usisubirie mchanganyiko usambae).
8)weka moto 300-350° hadi iwive vizuri
Zebra cake tayari kwa kuliwa...