Wapi wanapamba cake ( Dar )

MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,480
1,139
Msaaada wana JF.

Mimi ni mpishi mzuri tu wa cake.

Sasa next week nina birthday ya binamu yangu.

Nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa).

Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya Dar wanapamba cake.

Asante.
 
msaaada wana jf.. Mm ni mpishi mzuri tuu wa cake,,, sasa next week nina birthday binamu yangu,, nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa).. Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya dar wanapamba cake... Asante

mtafute huyu m2,,,, yupo bahari beach,,, yeye anatengeneza na kupamba..... 0656318087
 
Back
Top Bottom