Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,010
- 3,818
Nimebahatika kutembea nchi kadhaa Europe, Asia and Americas; pia ni mpenzi wa kutazama vipindi vya mapishi kwenye dstv ch 175.
Ambacho nimejifunza ni tofauti ya dhana nzima ya mlo kwa nchi zilizoendelea (Ulaya) na Africa.
Wakati ulaya main dish huwa ni (mboga) ikisindikizwa na cereals, Afrika ni kinyume chake.
Ulaya utaulizwa unakula nini, akikusudiwa umwambie labda Fish, Chicken, Lamb, Seafood, Pork etc Huku kwetu, main dish inakuwa, Wali, Ugali, Ndizi, Viazi halafu ndo swala la mboga huja baadaye!
Jee hii inatokana na tamaduni tuu au hali ya uchumi? Kwa maana uchumi ukipanda mboga hugeuka kuwa ndo chakula kikuu?