Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,950
26,050
hello wapenzi mnaopenda kula vizuri

Leo nataman tushee hili tunda la stafeli !ni tunda pendwa na adimu kias chake !tumezoea kutengeneza juice za maembe,nanasi,parachichi
hebu leo tutengeneze juice ya tunda la stafeli

.....Andaa sfateli lako lililoiva vizuri utoe mbegu zote
.....saga juice yako weka sukari ya kawaida
.....kama una uwezo tupia na maziwa fresh humo usagie
......tupia na vi strawberry kias kuongeza mvuto wa rangi na ladha(inakuwa na rangi nzuri sana )

hifadhi kwenye friji au tupia na vicubes vya ice unapoinywa !waweza inywea na chapat ya nyama ya kusaga safi mnooo !
upload_2017-11-27_11-32-53.jpeg
upload_2017-11-27_11-33-37.jpeg
 
zuri kwakweli mwanangu !jaribu hiyo pia !nimebahatika kupata miche yake bas kila mara naiangalia ikue tu jaman !lol
Home upo shida ukianza kuzaa tu mti unapandiwa na yale maukungu meupe basi matunda yanasinyaa hua naumia na sasa hivi ndio msimu wake daah.

Nialike mama angu nipate glass ya stafel mixer strawberry uwiii utamu wake siuelezei. lol.
 
kuna dawa za kupiga !nimesahau jina nikikumbuka nitakuambia !ipo dukani ! xmas nitakualika !yummy yummy
 
Back
Top Bottom