Pika mchanyato wa ndizi bukoba na viazi namna hii

Jospina

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
2,419
Points
1,500
Jospina

Jospina

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
2,419 1,500
Mahitaji:

 • Ndizi za kupika(ndizi bukoba) kubwa 5.Menya,kata katikati ukipenda
 • Viazi ulaya 4 vikubwa.kata katikati kwa urefu
 • Nyama kilo 1.chemsha adi iive
 • Nyanya 4 kubwa.sugua au saga
 • Nyanya ya kopo kijiko 1 cha chai
 • Vitunguu 2 vikubwa
 • Carry powder kijiko 1 cha chai
 • Karoti 2 kubwa.kata duara
 • Royco mchuzi mix,kijiko 1 cha chai
 • Mafuta ya kupikia,kiasi upendacho
 • Chumvi

Njia

1.Katika sufuria weka mafuta,vitunguu ,na carry powder.Kaanga pamoja adi vitunguu viive,Ongeza nyanya ya tunda na nyanya ya kopo, kaanga adi nyanya iive. • Vitunguu viive lakini visiwe na rangi ya brauni iliyokooza
 • Ili kujua nyanya imeiva ,nyanya na mafuta vitatengana ndani ya sufuria.Nyanya isipoiva matokeo ya pishi hili hayatakua mazuri kama itakiwavyo.

2.Ongeza Ndizi na viazi,kaanga kwa pamoja kwa muda adi uone nyanya inashikana na viazi na ndizi.Ongeza nyama(bila mchuzi) endelea kukaanga kwa pamoja kwa dakika moja au zaidi.Ongeza mchuzi wa nyama adi ufunike mchanganyiko wa ndizi na yazidi kwa kwa inchi moja.Funika na acha vichemke kwa moto mdogo.

 • Kama mchuzi wa nyama ni kidogo,basi changanya na maji
 • Pika chakula hiki kwa moto mdogo (simmer).Moto ukiwa mkali,mchuzi utakauka kabla ya ndizi na viazi kuiva na utalazimika kuogeza maji na utakua umeharibu pishi hili.

3.Vinapoelekea kuiva,ongeza royco,chumvi na Karoti.Tingisha au zungusha sufuria ili kuchanganya ,Acha vichemke adi viive.Chakula tayari kwa kula.

Chakula hiki kikiiva kinatakiwa kubaki na mchuzi ambao ni rojo.Hivyo zingatia sana kipimo cha maji na mchuzi wa nyama unachoweka.Na hakikisha hukaushi mchuzi wote unapopika.

ENJOY MLO WAKO
 
Attachments:

mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
8,880
Points
2,000
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
8,880 2,000

Je huu mchanyato unabusti nguvu zakiume?
 
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Messages
529
Points
500
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2018
529 500
Nikila sishibi sijui kwann yaan inakuwa kama nkmekula mboga bila chakula
 
Adilinanduguze

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
874
Points
1,000
Adilinanduguze

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
874 1,000
Chakula chako kizuri ila kwenye ingredients ulivyoweka Royco, Mchuzi Mix na Nyanya ya Kopo umenitoa hamu
 
Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,714
Top