Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,166
1,383
Habari,

Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.

Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa nimekula mlo kamili.

Hivyo basi kwa heshima na taadhima nakaribisha wale wajuzi na wabobevu wa masuala haya tushibishane maarifa juu ya suala hili la mlo kamili.

Wasaalam.
 
Balance diet
Is the diet which contain food nutrition in a right quantity and amount by propotion - difinition sijui ya darasa la sita b au c
 
Habari,

Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.

Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa nimekula mlo kamili.

Hivyo basi kwa heshima na taadhima nakaribisha wale wajuzi na wabobevu wa masuala haya tushibishane maarifa juu ya suala hili la mlo kamili.

Wasaalam.
MLO KAMILI UWE UNAJUMUISHA MAKUNDI YOTE YA VYAKULA BILA KUSAHAU MAJI
 
Back
Top Bottom