Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama, lakini kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni please.
0 Reactions
31 Replies
44K Views
Hello jf!! Naomba msaada wenu... Je ni wapi nitapata brown rice kwa bei nzuri? Namaanisha usiyokuwa ghali saana.. Natanguliza shukran...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Habarini... naomba kufahamu jinsi ya kutengeza yorghut kwa yeyote mwenye uzoefu nayo....asante. ------ Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi? Kama ndio basi fanya hivi... Andaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mahitaji (Kutumiwa na watu wa 4) ・Mapaja 2 ya kuku (gramu 500) ・1/2 kijiko kidogo cha chumvi (gramu 2.5) ・Pilipili manga kwa ajili ya kutia ladha ・Vijiko vikubwa 2 vya sosi ya soya (mililita 30)...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Mahitaji: Vitunguu swaumu kadri uwezavyo Tangawizi kadri uwezavyo Asali mbichi kwa ajili ya ladha. Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi...
9 Reactions
68 Replies
18K Views
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana. MAHITAJI Majani ya Kale (kale leaves) - 3 Brokoli pamoja na miche yake - ½...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Tanzania ! Sasa ile vita ya mfugaji na mkulima mwisho kabisa. Sitegemei kuona tena vita hii hapa Tanzania. Mahitaji a) Karanga mbichi kikombe 1 na 1/2. b) Sufuria na chujio kubwa c) Jiko...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF, Hapa nilipo kuna kibaridiii... Nimejipongeza kwa kunywa chai ya maziwa ya viungo. Nimeona sio mbaya nikishare hii ladha ambayo naona ni nzuri sana hasa pale ukiipatia. Kuna...
15 Reactions
33 Replies
35K Views
Vipimo Mchele (Basmati) - 3 vikombe Mbogamboga za barafu (karot, njegere, spring beans na mahindi) - 1 kikombe Kuku Kidari - 1 LB (ratili) Mayai - 2 mayai Vitunguu (vikubwa) - 2 au 3 vidogo...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari wapendwa,ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema.Leo nataka niwaelekeze kupika mboga ya majani ya maboga kiurahisi na matamu sana,japo najua kila MTU ana style yake ya kuyapika...
2 Reactions
15 Replies
18K Views
Watu wa pwani hii kitu tunapendaga sana mapishi pia hutofautiana leo nenda fresh food nunua pweza alafu pika kama hivi hutojutia.. MAHITAJI Pweza - 1 Kilo Mafuta - ½ kikombe Chumvi - 1 kijiko...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Hiki ni chakula cha asili ambacho kinaliwa kwenye jamii zetu.. Mahitaji •Unga wa muhogo. Jinsi ya kupika. •Bandika sufuria yenye maji jikoni(kulingana na maitaji) •Subiri mpaka maji yawe...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Jamani kuna hivi vitu vinafanana na sukari ni nyeupe sanaa. Nimeshaona aina tatu sasa tofauti ni ladha zake.. Ya kwanza ina ladha ya utamu kama sukari na ninaambiwa inatumika kwenye juice au...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Wadau wengine ambao wanahitaji kujua kuhusu matumizi ya rice cooker Natumai wazima ndugu zangu,naomba mnielekeze namna ya kutumia rice coocker. ---- Hivi pilau waweza pika kwenye rice cooker...
2 Reactions
176 Replies
62K Views
Habari zenu. Unaweza kupika chakula kizuri tu na kuzingatia kila hatua ila kisiwe na ladha tamu zaidi au kiwe kimepooza. Tumia pilipili manga iliotwanga dakika 10 kabla ya kuepua chakula chako...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Mimi binafsi naona mapishi ya aina hiyo hayafai kwakuwa radha ya Tangawizi si nzuri kwa vyakula ila vinywaji mara mia nitumie kitunguu swaumu kwenye mapishi ya mboga. Vipi wadau wa Chefs...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi napenda sana nyama hasa iwe ya ng'ombe, mbuzi kuku, samaki, kima. Ilimradi nyama tu iwe tamu na siwezi kuichoka. Mfano nyama ya ng'ombe nitakunywa supu asubuhi mchana na ugali au wali na...
13 Reactions
95 Replies
9K Views
Helow wakuu Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike...
3 Reactions
49 Replies
23K Views
Mambo zenu wakuu leo nitafundisha jinsi ya kupika ugali. Fuata Steps Hizi MAHITAJI Maji,unga wa sembe/Dona + Sufuria,Ubanio,Mwiko na jiko la aina yoyote mkaa au umeme au gesi.. Step 1 Sikia...
5 Reactions
117 Replies
49K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…