Ongeza ladha ya chakula kwa kutumia pilipili manga

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Habari zenu.

Unaweza kupika chakula kizuri tu na kuzingatia kila hatua ila kisiwe na ladha tamu zaidi au kiwe kimepooza.

Tumia pilipili manga iliotwanga dakika 10 kabla ya kuepua chakula chako.

Kwa upande wa spicea nyengine ili zitokoleze vizuri katika chakula mfano wa spices hizo ni bizari ya pilau n.k cha kufanya ni kuweka mafuta katika pan moto kiasi ili zisiungue na kuzikaanga kwa dakika 3 alafu endelea kuweka vegetable nyengine.
 
Vyakula vya siku izi havina ile ladha halisi, mfano mchicha, ni vitu gani nikiweka harufu na ladha itarudi?
 
Back
Top Bottom