Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwema wakuu? Huu msemo wa "kwio ake" nauona hasa unatumiwa na vijana wa kike na kiume kutoka mkoa wa darisalama kwa sana, una maana gani?
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau Habari za jumapili, Kwa miaka mingi sana huu msemo "Ulimi hauna mfupa" umekuwa ukitumika hususani pale mtu anapoteleza kuzungumza jambo, nimekuwa nikijiuliza aliyetunga msemo huu alikuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nini maana ya neno bofu/bofre? Nawasikia watu wa mwambao wanalitumia sana neno hili. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi pamoja na kufanya kazi hospitalini kwa muda wa miaka kumi sasa sikua nafahamu kuwa musk inaitwa barakoa kwa kiswahili, vipi wewe mdau,je ulikua unajua kuwa musk inaitwa barakoa?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada tafadhali wadau - Iwe kwa kiswahili sanifu, au kwa lugha yoyote unaweza kusaidia pia
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni maneno gani katika lugha ya Kiswahili ambayo ukiyasoma kutoka mwisho kwenda mwanzo yanakuwa na maana ileile kwa mfano, neno UVIVU. Karibuni..
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenye Kamusi Ya Lugha Ya Kisukuma au Kinyamwezi naomba anitumie Yenye Kufundisha Lugha vizuri na Maana yake Wabheja
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu Kiganda cha Uganda, Kinyarwanda cha Rwanda na Kilingala cha Congo. Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujua maana ya maneno 'mjuba' pamoja na 'kudesa' maana nimeona yakitumiwa na vijana sana.
1 Reactions
7 Replies
17K Views
Huu utandawazi nao umekuja kufanya watu wanakuwa malimbukeni.. Unakutana na Mwanamke siku ya kwanza (kwa kawaida huwa wanapretend sana na kujifanya watakatifu) Anaongea viswahili viwili na...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
KARIBU NGOMANI Manju utamu wa ngoma, ingia ndani ucheze Kuicheza ukigoma, siyo marimba ukaze Ngoma siyo homa homa, mdundo tusiuwaze Karibu tena ngomani, uone hali halisi. Wale walojua ngoma...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Hisabati na Tarakimu Msamiati wa hesabu/hisabati unaangazia: majina mbalimbali ya tarakimu/nambari; kuandika tarakimu kwa herufi.maneno; tarakimu za kiarabu; akisami (fractions) na asilimia...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Msamiati wa Nyakati na Saa NYAKATI NA SAA Kitengo Msamiati MASOMO Prev Vitate, Vitawe, Visawe Next Msamiati wa Majina ya Ukoo Siku za Juma Juma au wiki moja huwa na siku saba...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari zenu Waungwana! Ni imani ya moyo, akili, falsafa ziloshiba mantiki ya hapa na kule ya kwamba wengi kati yenu ni Wanalugha. Hebu nisaidieni ni lipi neno sahihi kati ya haya mawili? #"S"...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Elimu yangu ni form four niliyoipata Shule ya Jumuiya Tanga (Shule ya Jumuiya ya wazazi) na kufaulu daraja la tatu points 23 mwaka 1993. Tokea hapo nimefanya kazi na wazungu mpaka nikafikia level...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
*All your answer should start with "W" only* Try to solve like example 1,2,3👍👍 1. We all drink ...Water 2. A colour .... White 3. A dry fruit....Walnut 4. A direction... 5. Marriage... 6...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hola mis amigos ¿ Como estas?
1 Reactions
128 Replies
15K Views
nimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA...
1 Reactions
30 Replies
32K Views
Wataalamu wa lugha habari, naomba kujua maana na tofauti ya maneno hofu, wasiwasi, uoga
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom