Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba kujua tofauti ya makundi aya[emoji115] Nimekuwa na jiuliza ivi ukiambiwa uyu ni MWIZI, uyu ni JAMBAZI na uyu ni KIBAKA uwa unaelewaje?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tangazo linalohusu lishe kinga ya COVID 19 linakasoro, siku zote SUKARI ni sukari na haitaweza kuwa "Sukali", ni aibu na zaidi kwa ITV kutong'amua kosa hilo kwa siku nyingi.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau...wakati janga la Covid 19 likiendelea , nikiwa bado nipo karantini...limenifikisha kwenye mawazo yafuatayo kuhusu tofauti ya Lockup na Lockdown: Lockup - mahabusu/Jela 1.Ni ruhusa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mnaoelewa kiswahili jamani njooni
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia kila siku ohh jamaa kapewa shavu ohh shavu hilo ohh shavu linakuja hilo. Hivi ni shavu lipi la usoni? Sasa sieliwi maana yake mwenye kuelewa atueleweshe hapa kwenye elimu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Tunapodai wamasai, wairaki (wambulu), wandorobo na wahadzabe sio wabantu ni kutokana na miundo na sauti ya maneno ya lugha zao. Lakini kuna hili la Wanyakyusa la kujidai eti baadhi ya vitu...
1 Reactions
42 Replies
13K Views
Jikinge na wakinge wengine Corona inazuilika. Habarini... Binafsi ninaelewa lugha ya kabila langu tu, japo nayo iyo siwezi kuzungumza lakini mtu akiongea naelewa vizuri sana. Katika harakati za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
NIMEKUFA Masikio yameziba, sisikii na sioni Shingoni yamenikaba, nimelegea moyoni Ni nani wa kunibeba, nyota ipo ukingoni Nimekufa nimeoza, nasubiria kunuka. Niache niwe mtumwa, penzi lake ni...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Tofauti na Kiingereza hebu tusaidieni wandugu ni lugha gani ya kimataifa mtu akijifunza vizuri na kuifahamu hapa nchini. Anaweza pata fursa ya kibiashara, kazi na mengineyo kwa wale wanaofahamu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ? Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu).. Maneno ya kawaida Mtu - Mundu Kiti - Giti Meza - Metha Kijiko - Giciko Kitanda - Gitanda Nyumba - Nyumba Viatu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba ufafanuzi wa neno "BARADHULI" linatumikaje
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Kwema wakuu? Huu msemo wa "kwio ake" nauona hasa unatumiwa na vijana wa kike na kiume kutoka mkoa wa darisalama kwa sana, una maana gani?
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau Habari za jumapili, Kwa miaka mingi sana huu msemo "Ulimi hauna mfupa" umekuwa ukitumika hususani pale mtu anapoteleza kuzungumza jambo, nimekuwa nikijiuliza aliyetunga msemo huu alikuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nini maana ya neno bofu/bofre? Nawasikia watu wa mwambao wanalitumia sana neno hili. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi pamoja na kufanya kazi hospitalini kwa muda wa miaka kumi sasa sikua nafahamu kuwa musk inaitwa barakoa kwa kiswahili, vipi wewe mdau,je ulikua unajua kuwa musk inaitwa barakoa?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada tafadhali wadau - Iwe kwa kiswahili sanifu, au kwa lugha yoyote unaweza kusaidia pia
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni maneno gani katika lugha ya Kiswahili ambayo ukiyasoma kutoka mwisho kwenda mwanzo yanakuwa na maana ileile kwa mfano, neno UVIVU. Karibuni..
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenye Kamusi Ya Lugha Ya Kisukuma au Kinyamwezi naomba anitumie Yenye Kufundisha Lugha vizuri na Maana yake Wabheja
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu Kiganda cha Uganda, Kinyarwanda cha Rwanda na Kilingala cha Congo. Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujua maana ya maneno 'mjuba' pamoja na 'kudesa' maana nimeona yakitumiwa na vijana sana.
1 Reactions
7 Replies
17K Views
Back
Top Bottom