Hebu nisaidieni ni lipi neno sahihi kati ya haya mawili Shtua au Stua?

Sep 12, 2018
32
27
Habari zenu Waungwana!

Ni imani ya moyo, akili, falsafa ziloshiba mantiki ya hapa na kule ya kwamba wengi kati yenu ni Wanalugha.

Hebu nisaidieni ni lipi neno sahihi kati ya haya mawili?
#"S" inakuwa "sh" kama usoni kwake kutakuwa na eidha" T" au "P" katika lugha ya kijerumani:

> Student= sh-tu-de-nt
>stuhl=sh-tu-l
>speise=sh-pai-z

Hebu nijuzeni ni kwakuwa tulitawaliwa na Mjerumani, ndio maana tunasema shtua (wazenji wengi) stua(mainland wengi).

#G-less Antonopoulos
ZANZIBAR...
 
Back
Top Bottom