Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sync Canvas Links yani zile URL. Reading Plus Kwa kiswahili FaizaFoxy
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze. GLU™.
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Hii Ni tahadhali Kama ilivyotolewa na uongozi wa JF; "Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo kwenye Kisima cha Maji Nina madumu mawili, moja lina ujazo wa lita 5 na lingine lina ujazo wa lita 3 Nitawezaje kujaza moja wapo kwa lita 4 kamili?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Korona imetushinda,yatutia sononeko Mazao tuliyopanda,bangi miraa tumbako Kuuza tunapoenda,wateja hawapo soko Eti ndiko kuzuia,Korona isizagae. Magunia ya makaa,tulochoma msituni Siku mbili...
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Likizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
540 Views
KORONA INA FAIDA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari...gari...gari...gari..!! Una nini wewe? Gari hata kama chakavu,heshima hukupatia, Haijalishi uwe mkubwa hata mdogo pia, Dunia yote inatambua,matajiri na masikini pia, Afrika bara langu,hivi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200. Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Subira yavuta : kheri...japo maskini....wa ...kulala chini Hila Tajiri wa upendo, Najua Utaki hata kuniona Sura yangu imepoteza Nuru Kidonda umekitia Shubiri, Moyo umeutoboa kwa spoko navuja...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Wakuu nawasalimu wote Habari za Asubuhi. Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI" Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Naomba kufahamishwa tafsiri ya hayo maneno kwenye sentesi, kwa mfano nataka kufungua kimgahawa lakini mbele yajina la mgahawa nataka niweke moja kati ya hayo maneno kama kibwagizo. Nitumie lipi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi naanza na haya --- Sipendagi ujinga:cool::cool::cool::cool: --- Hainaga ushemeji:(:(:(:( ----Haijawahi kumwacha mtu...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa. Utafiti wangu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Nisaidieni tofauti ya maneno hayo hapo juu Mfano; Wanajeshi walivuma makombora Wanajeshi walivurumisha makombora Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ni muda mrefu nimekua nikiona makosa ya uandishi kwenye blog km Muugwana na Jamiiforum watu wakishindwa kuandika neno kuahirisha na kuandika kuhairisha. Cha ajabu leo vyombo vikubwa vya habari...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni. Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba. Ni hayo...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
#UNAAMBIWA Kwenye kamusi ya Kiswahili kuna neno “korona” ambalo tafsiri yake ni kinu cha kukoboa, kusafisha na kutoa kamba za mkonge. [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
THERE IS NO STOP. Inside a shabby room man in oily shorts is seen singing but...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Back
Top Bottom