Ivi lugha ipi tamu kujifunza na kuongea kati ya Kinyarwanda, Kiganda na Kilingala cha Congo

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu Kiganda cha Uganda, Kinyarwanda cha Rwanda na Kilingala cha Congo.

Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi nzuliii nataka kujifunza baada ya kiswahili niwe na lugha nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...inategemea unataka kufanyia nini. Kuna lugha nzuri kuimbia...nyingine kutongozea... nyingine kukemea..kuhubiria...kukopea..nk.nk

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...inategemea unataka kufanyia nini....
Kuna lugha nzuri kuimbia...nyingine kutongozea... nyingine kukemea..kuhubiria...kukopea..nk.nk

Sent using Beretta ARX 160
Ingependeza sana kama ungeonesha kwa mifano lugha na matumizi yake.
 
Kwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu kiganda cha Uganda, kinyarwanda cha Rwanda na kilingala cha Congo ,

Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi nzuliii nataka kujifunza baada ya kiswahili niwe na lugha nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Lingala

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom