Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wanajamvi salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Na mtoto wangu anasoma darasa la pili sasa kuna kazi wamepewa yakuandika maneno ya kiswahili yenye maana yanayo anziwa na Mwa, mwe, mwi, mwo...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini maneno...
3 Reactions
58 Replies
11K Views
Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia. Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu. Masaada basi kutafsili Ngutufwa lelo jo nkinde Ugwise gwa bololo Umpela fyosa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani mimi napenda sana kingereza najifunza taratibu,naomba mnaojua mnirekebishe nilipokosea na upande gani unanisumbua zaidi natuma hiki kipande hapo chini
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo katika kupita zangu mtandaoni nikakutana na Maswali mawili ambayo ni ~KATI YA BIBI YAKE MAMA NA MAMA YAKE BIBI NANI MKUBWA?~ ~BABA YAKO NA BABA MKWE WAKO WANAITANAJE?~
0 Reactions
1 Replies
706 Views
SIKIA Bissmillah naanza, kwa jina lake manani, Kwa maneno nakufunza, na wala sina utani, Umeshageuka funza,kutukuza ushetani. Ewe kiumbe sikia, yalo mazuri chukua. Unaliza waungwana, kwa kuupenda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wahenga walisema, “Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli,” "Usipopambana ujanani historia ya marehemu itakuwa fupi" na “Marehemu alizaliwa, akakua, akazura, akafa.”
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Unamhitaji Ila huna shida naye Na Una shida naye Ila humhitaji
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Masada JF. Hivi, socialite anaitwaje kwa KISWAHILI fasaha. Kuna tovuti moja ya Kenya imetohoa - mwanasosholati !
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari. Nikiwa nafatilia vijana hapa waandishi wa habari ni jambo zuri kuwarithisha nyanja hii ya habari na kupata watangazaji bora huko mbele. Kipindi kupitia UTV cha Morning Trumpet naona...
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Mnyonge / mɲɔngɛ / nomino Wanyonge (plural) Ngeli za nomino: a-, wa- MAANA YA NENO: 1. mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JF. Mimi mdogo wenu nipo mzima pia. Ukiangalia screenshots hapo chini, kuna baadhi ya majina nimefanya highlighting kwa rangi ya orange. Hizo surnames ndio...
6 Reactions
150 Replies
31K Views
Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na...
1 Reactions
27 Replies
62K Views
'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu. 1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam...
23 Reactions
84 Replies
12K Views
Sitaki hata kuanza na salamu.. Hili neno kwa mara ya kwanza nimelisikia kipindi cha msiba wa marehemu Magufuli likitumika sana kwenye media za kenya kama ktn, ntv. Mapumziko kidogo. Siku za...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi ni kweli kiswahili kina misamiati michache au sisi wenyewe tunarahisisha tu kwenye kuongea?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ZAMA ZA ZAMANI Ilifika wakati zama za zamani zikarudi, wala siyo vile vunubi makanisani Bali mtindo wa maisha ya duniani Ule ukweli ukawa uongo na uongo ukawa ukweli Matendo ya mbinguni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom