Nimevisoma kwa yakini kubwa sana vitabu hivi viwili baada ya kuvipata kwenye moja ya maduka ya vitabu hapa mjini. Vyote viwili vinaelezeya madhila ya Ujamaa; Kaptula la Marx linaelezea zaidi kwa...
Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
Wanangu hamjamboni?
Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno...
Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF:
1. Chai ya moto
2. Chai ya tangawizi
3. Chai kavu
Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi...
Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti.
Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii...
SISI NYUKI TUNASEMA, TUPO NA MALKIA WETU
1. Sisi ni nyuki wakali,
Imara tumesimama
Kwa dhati pia ukweli,
Tutamsaidia mama
Tuko ngangari kamili,
Kuipa nchi heshima
Sisi...
Hivi mwandishi ama mchangiaji wa mada anaweza kutumia 'inbuild feature" iliyopo hapa jukwani kuandika maandishi yake kwa ""bold text eg. 𝗣𝗹𝗲𝗮𝘀𝗲 𝗻𝗼𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗮𝘁" ama "italic text eg. 𝑷𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒏𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒉𝒂𝒕"...
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo...
Salaam JF,
Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus"
Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya...
Kama walivyo waendesha vyombo vya moto huwa na majina rasmi mfano:
Muendesha ndege ni Rubani
Muendesha gari ni Dereva
Muendesha meli ni Nahodha
Je muendesha treni au garimoshi anaitwa nani?
Habari...
Yawezekana nisieleweke hapo juu kwenye heading lakini vyovyote utakavyoiweka sawa tu ilimradi utanielewa kwenye maelezo
Unakuta neno la Kiingereza linakuwa na tafsiri (definition)...
Nimekuwa nalitumia, kusikia sana msemo huu "CHAMTEMA KUNI" kwa muda mrefu sasa katika maisha yangu ya kila siku. Najua kuna maneno yanatumika kwa maana hiyo hiyo kama vile; kilichomtoa kanga...
Nimepewa taarifa na mjukuu'angu mmoja ya kwamba kuna uharibifu mkubwa sana wa lugha yetu ya kiswahili humu jamvini. Kwa hiyo nimekuja hapa kuwa adhibu wale wote wanaoharibu lugha yetu takatifu...
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga?
Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.