Wengi hawajui kirefu Cha ATM an e-mail

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,745
Kama kweli unajua maana ya hizi kauli na unajua asili ya lugha,Mambo ya kukopa misamiati mfano shirt na shati.aliyetohoa lugha yetu Ni muingereza na mwingireza kwa kutumia ukoloni akatutengenezea lugha skirt ikawa sketi kiswahili chake bado hai hakijpatikana.
 
e-mail au electronic mail ni barua Pepe kwa kiswahili.

ATM (Automatic Teller Machine) naamini watu wengi wanajua maana yake, labda tafsiri rasmi ya Kiswahili ya ATM ndio tuingojee hapa.
 
Back
Top Bottom