Unautafsirije huu msemo?

Unforgettable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
5,272
11,770
'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man'

Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
 
Hii pia inawezekana ikawa ni fasiri yake:- (kuna tofauti kati ya tafsiri na fasiri, translation and interpretation).

Ni rahisi kwa mtu kuacha maovu lakini haiwezekani kwa maovu kumuacha mtu.
 
'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man'

Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
Mfano mzuri ni rais wa awamu ya 5, licha ya kujitutumua kusoma ila ushamba bado ulitawala fikra zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom