Je, ni kweli Kiswahili kina msamiati mchache?

Sailaa

Member
Mar 23, 2021
25
45
Hivi ni kweli kiswahili kina misamiati michache au sisi wenyewe tunarahisisha tu kwenye kuongea?
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,607
2,000
Hivi ni kweli kiswahili kina misamiati michache au sisi wenyewe tunarahisisha tu kwenye kuongea?

Unaposema lugha fulani ina misamiati michache ni lazima ulinganishe na.lugha nyingine, mfano unaweza sema; kiswahili kina misamiati mingi kuliko Kirundi au unaweza sema Kiswahili kina misamiati michache kuliko kiingereza au Kiarabu ni lugha yenye misamiati mingi kuliko lugha yoyote.

Sasa Unaposema Kiswahili kina misamiati michache, je unalinganisha kiswahili na Lugha ipi??
 
Nimekuelewa vyema kaka kwa maelezo yako swali langu halijajitosheleza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom