MOYO MPWEKE
Ni mti uso tunda, vivyo hivyo moyo pweke,
Unabakia kukonda, kulikosa tunda lake,
Tena huo umepinda, wangojea siku yake,
Moyo ule usopenda, huo ndio moyo pweke!!
Ndege asiye kiota...
1. Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana nae kabla)aunt au uncle.
2. Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki (sio original...
Mtu kwao anatunzwa, hata kama hana dini,
Mtu kwao anatunzwa,ili apate thamani,
Mtu kwao anatunzwa, mfanowe halingani,
Nyerere kweli mwalimu, kwa mengi alotufunza
Uongozi msimamo, bila kutaka...
MUHOGO MTAMU
Tule muhogo jamani, chakula cha wananchi.
Wala tusione soni, tafuna ilo mibichi.
Ifuateni sokoni, hamsini tu jisachi.
Chakula cha watu wote, yupi asema ukata.
Wakulima jitumeni...
'She sat in the restaurant,waiting anxiously. She was 16 years old,and she was waiting for a boy. His name was Yona. She and Yona had been classmates in primary school,and in pry 3,he'd been her...
Siku hiyo ya jumatano
Nimelala zangu kitandani , nasikiliza love and dedication ni kipindi kimoja kinarudhwa na radio moja maarufu jijini dar es salaam , kama kawaid nikawa nasikia watu...
Confuse=kuchanganya. Hili neno bwana nimekutana na wa2 kadhaa wa afrika na nje (nnje) ya afrika wanalitamka [konfAs] mimi nimezoe kulitamka [konfYUZI] tangu sekondari. Which is which kwa wale...
By. M. M. Mwanakijiji
You walked away from me
In anger and accusations
Of things you never mentioned
left me with tears on my face
sobbing and crying like a baby you dumped me
You walked to what...
I'll tell you why I hate routine;
Wake up in the morning
get the kids ready to school
Hurry up to beat the traffic
Get to work sleepy and cranky!
Find an assignment that I was supposed to have...
BELINDA WA MAISHA YANGU SIMULIZI YA MAPENZI
Pingu za maisha ni kitu cha furaha na cha kutamaniwa na Binadamu yoyote yule.Ni siku ya furaha sana na ina kumbukumbu nyingi sana katika maisha...
Ndugu Wanajamii, kuna ndugu zetu Wamarekani wenye Asili ya Afrika wanakuja Tanzania kutafuta mizizi (roots) yao katika programu ya African Diaspora Heritage Trail (ADHT) <...
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog...
Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.
Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara...
Chapter one!
____________________________________________________________ _____________________________________
Where am I? I don't recognize this place; an extravagant house in a...
WanaJF,
Naomba msaada katika matumizi sanifu ya maneno haya, haswa pale inapotokea nimeulizwa na mtu asiyejua Kiswahili. Mfano mtu akiniuliza katika Kiingereza tafsiri ya:
'Milk' in Swahili -...