B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Jun 25, 2011 #1 Naomba nipatiwe neno sahihi kati ya serekali na serikali pia naomba kujua tofauti kati ya kifo na mauti.
Naomba nipatiwe neno sahihi kati ya serekali na serikali pia naomba kujua tofauti kati ya kifo na mauti.
Cestus JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 987 Reaction score 132 Jun 26, 2011 #2 sio serekali wala serikali bali ni sirikali!
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Jun 27, 2011 #3 Ni selikari!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,495 Jun 27, 2011 #4 Serikali.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Jun 27, 2011 #5 Wachana na hizo zote, kiboko ni SEREKALE!..(wachaga inahusu!!)
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jun 28, 2011 #7 SIRKAAL ndio asili ya neno kutoka kwa waarabu, kwetu ni serikali