Kipi ni sahihi?

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Napata shida kutambua usahihi wa sentensi hizi. 1.Baba wa malkia ni John 2. Baba ya malkia ni john. ipi ni sahihi kati ya hizo?
 
kwa kuangalia upatanisho wa kisarufi "Baba wa malkia ni sahihi" au unaweza kusema "Baba yake malkia" na wala si Baba ya malkia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom