Translators | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Translators

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by vivimama, Jun 16, 2011.

 1. v

  vivimama Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF,
  Hivi translators wa english-swahili kwa hapa tanzania wanapatikana wapi wandugu?
  I mean kama kuna chama au organisation yeyote kuhusu mambo hayo.
  Binafsi nafanya kazi hiyo, natafuta sehemu nipate kitu kama workshop ili kupanua uelewa na mbinu za kazi hii but cjapata.
  ANY ONE WITH ANY CLUE?  mapenzi yangu
   
 2. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Jaribu pale UDSM,Taasisi ya Kiswahili.
   
Loading...