Niambieni jamani hivi.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niambieni jamani hivi..............

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by rununu, Oct 24, 2011.

 1. r

  rununu Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "Nyimbo hii itachangia kuharibu kiswahili" naomba mniambie kama ni sahihi kutumia "Nyimbo" katika umoja maana The boss ametumia nyimbo katika uwingi wakati wa kuuelezea wimbo wa hakunaga wa sumalee kwamba utachangia kuharibu lugha ya kiswahili, kwa maelezo niliyoyaweka katika alama za fungua na funga semi.
   
Loading...