Inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha kupalia puani inaitwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha kupalia puani inaitwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kibirizi, Oct 22, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba kufahamu, hivi ile inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha mtu kupalia na kupika chafya inaitwaje, wengine wanasema eti ni moshi wa chungwa, wangine gas, wangine maji, wengine mvuke sasa inachanganya tunashindwa kuelewa.
   
 2. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  utufyuru.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli? hilo neno sijawahi kuliskia aisee...
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  chafyati...
   
 5. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  yes and we use to use it since we were kids to now.
   
Loading...