Neno lipi ni kiswahi fasaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno lipi ni kiswahi fasaha

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by jjeremiah, Oct 19, 2011.

 1. j

  jjeremiah Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Amelala au analala, naomba majibu yawe na maelezo
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani inategemea na context:
  Mtoto yuko wapi? Analala. haina maswali, mtoto kalala.
  Mtoto anacheza? No, amelala. hapa kuna maana ya alikua anafanya kitu kingine ila amelala (sasa). or, amesha lala.
  Sina uhakika na tafsiri hii ila mimi kama mimi natumia kw anamna hiyo...
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amelala wakati ulipita, analala wakati uliopo.
   
 4. j

  jjeremiah Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Lakini kwa nini watu hutumia amelala kwa kumaanisha wakati uliopo, mfano unaulizia mzee yupo mama anajibu amelala
   
 5. j

  jjeremiah Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Nilikua na maana kwamba imezoeleka kutumia neno amelala ambalo ni wakati uliopita badala ya analala kuonyesha wakati uliopo yani kitendo kinaendelea na kwa maana hiyo utaonekana umekosea na utasahihishwa kwa kuambiwa amelala.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kwa hakika inategemea na muktadha tu...lakini maneno yote mawili ni fasaha...na yanaweza kubeba maana zaidi ya moja!

  1. Kwa nini siku hizi Jeremiah analala mapema?.....siku hizi anafanya kazi za kutumia nguvu, hivyo anachoka sana.
  2. Jeremiah analala wapi?.....(a) analala chumba namba tatu (b) ..analala kwa bi mdogo! nk nk
  3. Jeremiah yupo wapi?....(a) yupo chumbani kwake,..amelala (b) ..bado amelala/kalala

  nk
   
 7. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  amelala siyo wakati uliyopita ni wakati uliopo uliokamilika ie kitendo kimeshakamilka kutendeka. in eng. pres. perfect. hivyo matumizi yake yanatumika kwa usahihi kabisa. mzee amelala. ikiwa ndo kwanza anaingia kitandani bado usingizii haujamshika, tunasema analala. kwa mtoto pale anaposinzia tunasema analala. akishaupata usingizi kamili tunasema amelala. akiamka tutasema alilala....
   
 8. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  amelala siyo wakati uliyopita ni wakati uliopo uliokamilika ie kitendo kimeshakamilka kutendeka. in eng. pres. perfect. hivyo matumizi yake yanatumika kwa usahihi kabisa. mzee amelala. ikiwa ndo kwanza anaingia kitandani bado usingizii haujamshika, tunasema analala. kwa mtoto pale anaposinzia tunasema analala. akishaupata usingizi kamili tunasema amelala. akiamka tutasema alilala....
   
 9. j

  jjeremiah Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Na vipi tukitumia mifano mingine bado itaonyesha wakati uliopita:-Mtoto amekula, mtoto anakula. Baba ameondoka, baba anaondoka ni ipi itaonyesha wakati uliopita na ipi itaonyesha wakati uliopo.
   
 10. u

  utantambua JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa maelezo haya asipoelewa tunampa sup
   
 11. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  jerry. hapa hapana wakati uliopita . mtoto amekula ni wakati uliopo uliokamilika na mtoto anakula ni wakati uliopo unaoendelea. wakati uliopita ingekuwa mtoto alikula. the same to ameondoka na anaondoka. hope u get it
   
 12. r

  rununu Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  context ndio nini????????????????
   
Loading...