Hati miliki ya lugha ya kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati miliki ya lugha ya kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Nyamtala Kyono, Oct 18, 2011.

 1. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali
  Inasemekana sisi Tanzania ndio waongeaji wakubwa wa lugha ya kiswahili duniani, hivyo ni kama hii lugha adhimu sisi ndio wamilki
  Je, kuna hatimiliki katika lugha? Sisi tunanufaikaje kutokana na lugha yetu kupendwa na watu wengine na kutumiwa na watu wengine?
   
 2. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  duh! mzee umaarufu tu unatosha hamna hati miliki wala malipo hapa. ingekuwa hivyo uonavyo wewe ingekuwa balaa.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sio lugha YETU. idadi ya watanzania wanao ongea kiswahili ni kubwa kuliko taifa zingine zote ila inawezekana sana Congo ikatupita maana watu 30M wanaongea kiswahili kule.
  Faida kubwa ya kua nchi iongeayo kiswahili kuliko zingine ni kua na accademy ya kutunga, kuoanga na kuendeleza kiswahili hapa nchini, alafu tunawaambia walimwengu maana ya maneno ya kiswahili na jinsi gani yanatumika.
   
Loading...