Suluhisha huu ubishani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suluhisha huu ubishani!!!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Poriposha, Oct 23, 2011.

 1. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF, npo kwenye gari kuna ubishan mkali. Kuna tofauti gan kati ya maneno haya.
  1. Umeolewa 2.Umeowa 3.Tumeowana
  No 3 ndio linaleta mkanganyiko sana. Ungewasaidiaje hawa watu?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hebu angalia vizuri hilo gari lisije likawa linaelekea MILEMBE.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  hao walio oana ni wanaume?au wanawake au yote sawa?sijakuelewa.hebu fafanua vizuri.hiki ni kitendawili au misemo?ukiona wanaendelea kama vipi nenda ukawaoe.mia
   
 4. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Anza kuwauliza nini maana ya oa!
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni vidume tena vilivyo oa, wanadai mwanaume anaoa, mwanamke anaolewa ila hakuna kusema sisi tumeoana. Ni kweli jamaan?
   
Loading...