Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
nini maana ya viambishi ngeli katika nomino?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona kwamba maneno mengi yana aina mbalimbali kama: Kubadili - kubadilika - kubadilisha - kubadilishana - kubadilishwa Tofauti na maana yao ni nini? Other examples of other words please?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari,nahitaji kujua sehemu ninapoweza kupata walimu/mwalimu mzuri wa lugha ya kihispaniola hapa Dar es salaam. Anayejua msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuuliza si ujinga kila mtu siku hzi aki upload picha anaandika TBT kwani manaake ni nini
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Habari wakuu Naomba Msaada wenu English Grammar Inasumbua Saana Kitabu au chochote chepesi kinaweza saidia Thanks
0 Reactions
11 Replies
3K Views
naitaji kujifunza black america kwa dar es salaam n wap naweza pata huduma hii..?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ta muda na wakati huu wapendwa? Mwenzenu napenda sana kujua Kiingereza lakini ina niwia vigumu kutumia viunganishi vyake, Kwamba vinatumika wapi na kwa muda gani? Hili ndilo tatizo langu...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
For 1000 years, Arabic was the primary international language of commerce, scholarship and politics, much as English is in today's world. In fact, over the centuries English adopted many words...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
naomba kuelimishwa juu ya mnyama huyu: mbuzi dume anaitwa 'beberu', na kondoo dume aitwaje? tupia jibu tusaidiane kupambana na adui 'ujinga' maana kanisumbua kwa muda sasa.....
0 Reactions
2 Replies
24K Views
wote ambao mmo humu nipeni tafsiri ya neno rasimu mfano rasimu ya michezo au rasimu ya elimu: rasimu ya katiba NENO "RASIMU"
0 Reactions
4 Replies
22K Views
Tanzania tunajaribu kuiendeleza lugha ya Kiswahili lakini tunafikiri tutachukua muda gani kutumia tafsiri kama hizi katika maongezi yetu ya kawaida badala ya kuendelea kutumia maneno ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maneno haya shika,kamata na chukua watalamu wa lugha uwanja ni wenu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanajf! The great thinkers neno hili limekua likinisumbua kimantiki! Sina tatizo nalo katika morphological rules wala syntax yake bali its semantic components of the phrase word!(meaning)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4. Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta...
0 Reactions
34 Replies
41K Views
jamani mm ndo nimeingia hapa, naomba kujua tofauti ya hayo maneno au kama ni sawa. fungua ujuzi,elimisha tujenge taifa
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau naomba mnijuze maana ya neno kuntu,kwamaana nimeliona likitumika sehemu mbalimbali.
0 Reactions
18 Replies
23K Views
(1) When in Rome,do as the Romans (2) A friend in need, is a friend indeed (3) Too many cooks spoil the broth. Endeleza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikia redio na televisheni zetu zikitumia neno "Taarifa ya Habari". Huwa nina wasiwasi na matumizi ya maneno haya mawili kwa pamoja. Ninaomba wataalamu wa kiswahili wanisidie kujuwa...
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Mtanisamehe kama ilishwahi kuulizwa lakini naomba mnisaidie kwani nami nimeulizwa na kukwama
1 Reactions
40 Replies
18K Views
Avoid These 20 English Words When in Other Countries France Preservative. Avoid asking about preservatives in France; you'll probably be met with strange looks. It means ‘condom' in...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom