hayo ni maneno yanayotokana na mzizi "badilika" ambapo ukiongeza viambishi awali na tamati unafanya uambishaji na mnyumbuliko na matokeo yake ni kupata kauli mbalimbali za kiswahili mf. badilishwa_kauli ya kutendwa! kubadilishiwa~kauli ya kutendewa n.k! umeelewa?