Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kuna haya majina mie huwa yananitatiza mwenye uchambuzi mzuri sio vibaya akanitoa vumbi machoni. Hixi ni nini na utofauti wake ni nini? 1. Avenue 2. Road 3. Street 4. Crescent 5. Drive 6...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani haya maneno nikisikia mtu anayatamka au kuyasoma sehem yananitatizaga… - Nyani haoni kundule -Zimwi likujualo halikuri likakwisha jamani msaada jamani…
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mwalimu wa kifaransa atakae nifundisha mimi na mtoto wangu kwa siku za weekend kwa muda wa miezi mitatu. I'm a beginner. Mwenye contacts na mwalimu yeyote wa Kifaransa naomba.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Tofauti ya writter, author na auditor.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Siri ya Sifuri,...... MZIMU WA WATU WA KALE..... KISIMA CHA GININGI....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani jf ndo elimu mbadala, ivi maneno hayo yana maana sawa? au kuna tofauti? aya ingia jamvn
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Habari Naomba msaada wenu, kwa kiswahili Tuna fish anaitwaje?
0 Reactions
9 Replies
28K Views
Habari zenu wakuu. Pamoja na kuhamasika na kazi za waandishi mbalimbali kama vile Kezilahabi, Shaaban Robert, Mohamed Said, Andanenga, Penina Mhando, Haji Gora, Charles Mloka, Theobald Mvungi...
0 Reactions
4 Replies
20K Views
Kwa wale wote wapenzi wa lugha ya Taifa - Kiswahili.Naomba niwaeleze hiki kitu kinachonishangaza sana. Rais wa China alipotembelea nchi yetu mwaka 2014 alikaribishwa Ikulu na Rais wetu.Kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naweza kuongea Finnish, Norwegian na Kiinrereza, na hivi karibuni nimeanza kusoma Kiswahili. Napenda kiswahili kwa sababu kina pronouns, verbs and their tenses, including their negative forms...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Kama unaweza kuongea na kufundisha kifaransa , ni pm kuna kazi ..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada wa mtu mwenye notes za kifaransa hasa kuanzia intermediate level ili niweze kujiendeleza. Pia nakaribisha ushauri wowote utakaonisaidia katika kujiendeleza katika lugha hii...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wataalamu wa lugha ya kiswahili husikeni na kichwa hapo juu. Tumezoea kuwaita ndugu zetu wenye albinism zeruzeru, nini asili (etiology) ya neno hili?
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nadhani si vibaya kushare maneno mbalimbali na machimbuko yake kwenye lugha zetu za asili Kwa leo mimi naanza na neno "sandauna" kutoka kwenye lugha ya kihaya Kimsingi hili neno linamaanisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu niwaulize nimeshuhudia utumizi wa mnyambuliko wa vitenzi ambao mwalimu wangu aliniambia sio sahihi. Hivi kukujaga ama kukujanga ni sahihi kwa sababu lugha nyingi za kibantu zina mfumo huo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naombeni kirefu cha maneno ya kiswahili ya JUAMA na SHIETA. Nisaidieni wana jf.
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Jifunze lugha zaidi ya 18 kwa app ya JW LANGUAGE.Ina Lugha Kama vile English,Swahili,Chinese Simplified,Spanish,France,Japanese,etc. App inapatikana kwa iOS,Android na windows.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu mimi nipo mkoani ( mbeya) natamani sana jifunza kiingereza lakin kila ukiulizia utajibiwa ras simba! je hatoi masomo onlinee,,,,ili kutusaidia na wa mikoani" Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni changamoto zipi ambazo mwanalugha anaweza kuzipata anapojishughulisha na semantiki na pragmatiki.
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Back
Top Bottom