Jinsi ya kutamka maneno haya ya Kiingereza

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,217
Reaction score
27,045
Naomba msaada jinsi ya kutamka maneno haya ya kimombo sababu yananipa shida kidogo

Mfano:

1.Way=wei
2.Blood=bladi

Maneno

1.Enthuasiasm=?

2.Ignore=?

3.Wrath=?

4.Wrap=?

5.Humor
 
Nashukuru mkuu John Ezekiel kwa mchango wako kama wadau wengine wa lugha mkitoa msaada zaidi itakua poa
 
Last edited by a moderator:
ndugu,mi naweza kukushauri ufungue dictionary ya kiingereza au dictionary kwenye internet utaona jinsi ya kuyatamka hayo maneno,hasa hasa kwnye internet kwa sababu unaweza kusikia pia jinsi wanavyoyatamka hayo maneno
 
Asante mkuu
 
1.Enthuasiasm=? = inthusiadhim

2.Ignore=? = ignoo

3.Wrath=? = roth

4.Wrap=? = rap

5.Humor = hamo

John Wrath- inatamkwa sawa na ulivyo andika matamshi ya Wrap yaani "Rath" na Humor inatamkwa "Yuma" na sio Hamo
 
Naomba msaada jinsi ya kutamka maneno haya ya kimombo sababu yananipa shida kidogo

Mfano:

1.Way=wei
2.Blood=bladi

Maneno

1.Enthuasiasm=?

2.Ignore=?

3.Wrath=?

4.Wrap=?

5.Humor

Ndugu kifonolojia maneno hayo yanatamkwa kama ifuatavyo.
Way - /wei/
2. Enthusiasm---/enQusiazm/
3. Ignore-/igno:/ hapa inamaanisha ignoo
4. Wrap- /rap/ ila kwenye [a] hapa inabidi tuweke schwa sound
5Wrath-/raQ/ hapa kwenye [a] kuna shwa sound na hyo [Q] inaitwa thita ila simu yangu haina apropriate symbol kwa ajili ya hilo neno
6.humor- /hjuma/ hapo kwenye [a] kuna shwa sound.

Nawasilisha
 
kuna baadh ya maneno hayo sijui maana yake.....
 
Ndugu kifonolojia maneno hayo yanatamkwa kama ifuatavyo.
Way - /wei/
2. Enthusiasm---/enQusiazm/
3. Ignore-/igno:/ hapa inamaanisha ignoo
4. Wrap- /rap/ ila kwenye [a] hapa inabidi tuweke schwa sound
5Wrath-/raQ/ hapa kwenye [a] kuna shwa sound na hyo [Q] inaitwa thita ila simu yangu haina apropriate symbol kwa ajili ya hilo neno
6.humor- /hjuma/ hapo kwenye [a] kuna shwa sound.

Nawasilisha

mkuu umetisha
 
Mkuu Mazigazi nakushauri kama unamiliki computer/laptop tafuta softcopy ya dictionary na install itakusaidia maana ina option ya kuskiliza matamshi ya maneno kwa english ya Marekani na Uingereza. Ukishindwa kuipata kwa watu wa jirani nitafute PM tuone namna ya kukupatia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom