mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
wote ambao mmo humu nipeni tafsiri ya neno rasimu mfano rasimu ya michezo au rasimu ya elimu: rasimu ya katiba
NENO "RASIMU"
NENO "RASIMU"
wote ambao mmo humu nipeni tafsiri ya neno rasimu mfano rasimu ya michezo au rasimu ya elimu: rasimu ya katiba
NENO "RASIMU"
Uko sahihi Molaro. Tuna kwa mfano rasimu ya katiba(draft constitution); yaani katiba ambayo inahitaji kujadiliwa naNeno rasimu inatafsiriwa katika kiingereza kama "Draft" ikiwa na maana ya jambo ambalo halijakamilika na linahitaji marekebisho
Uko sahihi Molaro. Tuna kwa mfano rasimu ya katiba(draft constitution); yaani katiba ambayo inahitaji kujadiliwa na
kurekebishwa ili ipatikane katiba halisi.
Bila shaka mleta thread atakuwa amepata kitu hapa.