LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.
Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......
Mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??
Au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.