Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hivi huu usemi kuwa BOSI HANUNIWI una maana gani? Hata leo asubuh nimesikia mtu akisema hivi.Jamani anayejua zaidi atujuze.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji kujua kuongea lugha ya Kiingeleza (English) kwa ufasaha kwa anaejua nifanye kitu gani ili niweze fanikiwa naomba anisaidie, kusoma maneno ya kiingeleza naweza na kuelewa naelewa vizuri...
0 Reactions
42 Replies
18K Views
Habari Za Mchana Wana Jf Naombeni Msaada Nataka Kujua Maana Ya Negro Nakumbuka Nilivokua Mdogo Baba Angu Aliniambia Negro Ni Wamarekani Weusi,nikanote Ivo Mpaka Leo Lakin Juzi Nimelizungumza Hilo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Utasikia Mtu Anasema "TAMU KAMA NIN" AU "Chungu KAMA NIN" AU "Mkali KAMA NIN" AU "Mkarimu KAMA NIN" AU "Mkarimu KAMA NIN".... N.K Hii "KAMA NINI " Ni Kama Nini? ?? Sijui Kama Mnanielewa Apo...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Nchi ya Ujapani imefanya majaribio ya treni inayopelekwa kwa kutumia nguvu za Sumaku na wameweza kufika Mwendokasi wa 603km/saa na hawaongei Kiingereza, siajabu wewe na baba yako mnajua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale Waswahili Wenzangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana, kusema kweli tangu enzi za augustino Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, waandishi wa habari walinibadilisha kuhusu ufahamu wa neno 'kunguruma'. Mwanasiasa anapohutubia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabudaa mkoaje? nimemiss hizo toungue za naii.....machalii na mamanzi hebu mchoree hizo word mob za street! Me hupenda vile maderee wa matt na machali wa street hubonga! tao = city center...
2 Reactions
46 Replies
31K Views
Waungwana natumai mu wazima wa afya. Natafuta vitabu vifuatavyo na ambaye anajua wapi naweza kuvipata tafadhali anijulishe The Dry Guillotine Banco Butterfly QB14 Topaz Trinity Exodus Fear is...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
hii poem iliandikwa na mtoto wa form 3 alisoma shule ya kata kijijini ludewa
2 Reactions
4 Replies
1K Views
tatizo langu ni luga ya kisomali kuna yoyote anaweza kunisaidia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua kila mtu ninapozungumzia umasikini wa lugha ananielewa vizuri sana, katika upembuzi wangu wa lugha nimeona leo niwaonyeshe jinsi lugha yetu hii tunayojinadi nayo ilivyo masikini kuliko hata...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Huku kwetu kilimanjaro na hata sehemu nyingi hapa nchini, kuna mmea ambao majani yake yanawasha sana.Ukiyagusa tu, utawashwa na kupata maumivu makali. Kwa kiswahili tunayaita washawasha.Mikoa ya...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Ndugu wanaisimu wa lugha. Kama ambavyo tujuavyo kuwa kiswahili asili yake ni kibantu kwa kuona uthibitisho wake kisayansi na kihistoria. Je,hawa wabantu asili yao ni wapi? Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
He, jamani, kumbe kuna 'Ufuska wa Kifedha' katika ndoa? Mi sikujua hili. Na kwamba kama kuna mtu anaficha fedha katika ndoa yako--hasa kwa wale wenye vibiashara vidogo vya kifamilia basi ndoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Kiarabu, al-Qaeda ina silabi nne. Hata hivyo, tangu mawili ya konsonanti za Kiarabu katika jina hili hayapatikani katika fonolojia ya lugha ya Kiingereza, misemo ya karibu katika Kiingereza ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kutamka maneno haya ya kimombo sababu yananipa shida kidogo Mfano: 1.Way=wei 2.Blood=bladi Maneno 1.Enthuasiasm=? 2.Ignore=? 3.Wrath=? 4.Wrap=? 5.Humor
0 Reactions
25 Replies
14K Views
nini maana ya viambishi ngeli katika nomino?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona kwamba maneno mengi yana aina mbalimbali kama: Kubadili - kubadilika - kubadilisha - kubadilishana - kubadilishwa Tofauti na maana yao ni nini? Other examples of other words please?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari,nahitaji kujua sehemu ninapoweza kupata walimu/mwalimu mzuri wa lugha ya kihispaniola hapa Dar es salaam. Anayejua msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom