Habari za wakati huu wanajamii?
Natumaini mnaendelea vyema na shughuli zenu za hapa na pale.
Waungwana naomba kujuzwa tofauti ya maneno "nipo" na "niko"
mfano: kama ninaendesha gari natokea...
Nahitaji mtu wa kunisaidia kuandika barua ya kuomba 'kazi' kwa kingereza safi na kitachovutia ambayo nta APPLY nje ya nchi. Aina ya kazi ni 'MATRON'. .
Makamu mweyekiti wa BAKITA ( Omari Kiputiputi), amesema neno "king`amuzi" halijasanifiwa na linatumika kwa makosa katika kifaa cha televisheni. Amesema, "king`amuzi ni kile kitu ambacho huwezi...
Kama kichwa cha habari hapo juu ambacho nimekichukua toka akaunti ya facebook ya BBC.
Pamoja na kwamba mimi si mtaalamu wa lugha hiyo lugha iliyotumika nadhani si sahihi. Sote tunafahamu kuwa...
Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali anakudharau! Mwalimu Nyerere 01/5/1995.
Kutokana na nukuu hiyo ndugu zangu watanzania,lazima kila siku kile kinachoingia masikioni...
Kwa pamoja tuungane na kuwatetea ndugu zetu hawa wenye ulemavu wa ngozi.
1>damu yake yamwagika,bila hata ya hatia.
Na vilio vya sikika.,maumivu wasikia.
Yamewajaa mashaka,kipi walichokosea ...
Mara zote msiba ukitokea tunatumia kauli ya "TUMEMPOTEZA" hii ina maana ya kwamba na nyie mlichangia kwenye kifo chake....
Wadau wa lugha mnasemaje hapa
Kwa siku mbili au tatu sasa hili neno 'kavazi' limekuwa likisemwa/kuandikwa kwenye vyombo vya habari.Nilianza kulisikia wakati wa uzinduzi wa 'kavazi' ya mwalimu Nyerere juzi na leo nimeona BBC...
WATU WENGI WATAKOSA SWALI HILI!!
Kuna tofauti gani kati ya NJE YA NCHI na NCHI ZA NJE??, kama wewe unajua kiswahili utapata tu maana kuna tofauti kubwa sana!.
Kile kitabu cha ‘PAKA WA BINTI HATIBU' ambacho kilikuwa kikisubiriwa kwa hamu na shauku kubwa hatimaye kimeingia mitaani tayari kufikisha ujumbe na kutoa burudani kwa jamii iliyokusudiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.