Help for Grammar

Help for Grammar

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Habari wakuu

Naomba Msaada wenu English Grammar Inasumbua Saana Kitabu au chochote chepesi kinaweza saidia

Thanks
 
Habari wakuu

Naomba Msaada wenu English Grammar Inasumbua Saana Kitabu au chochote chepesi kinaweza saidia

Thanks
Ni bora kwanza kujua umeshajifunza kiingereza hadi kiwango gani. Kama ulikisoma hadi kidato cha 4 huwezi kuanza kusoma vile vitabu vya matumizi ya "is" au has na have. Kiingereza kwanza ni tenses. Jifunze hizo kabla ya vngine. halafu sanjari na hiyo ujifunze parts of speeech. hayo mengine utapewa kwa ziada.
Kila la kheri
 
Kama umeweza kuingia JF, ina maana una access na internat na unajua kuitumia. Nenda google au bing search topic unayotaka na utajifunza mengi sana, hata kwa audio kama unataka.

Vinginevyo nenda duka la vitabu lilikaribu nawe waeleze shida yako, ukiwa na bahati unaweza pata msaada wa kuelekezwa ni vitabu gani. Kama alivyokushauri mchangiaji hapo juu, ingekuwa rahisi kukupa uxact ushauri kama ungeeleza level yako ya elimu katika lugha ya kiingereza.
 
Gurta , l hope your doing fine. also I need a copy too If possible. be blessed.

I am seeing this post of yours this late, if you haven't been helped yet pse PM me your email! Cheers
 
Back
Top Bottom