throw back Thursday
which means
picha za Enzi hizo
ah asante
karibu
Mi nilijuaga tabata
TaBaTa kimanga
picha za Enzi hizo
throw back Thursday
mbona wengine utakuta wamepiga mda huo huo bt wanaandika ....tbt
Na picha za kipindi hk tunaandika Throw Present Friday (TPF )au?
Hao wambea nachojua ni picha ya siku nyingi kidogo
Nimecheka sana mkuuu hilo sjui kwa kweli
Dah Lugha hii iliyokuja na Meli ina mambo kweli...yan ukisoma neno kama lilivyo linaeleweka ila maana nyingine kabisa...sasa Thursday inaingiaje hapo kweny picha zlizopita wakat Thursday ni Alhamis dah!
hahaha au ndo watakua hawajui badala ya kuuliza wanaandika tu