"The Great Thinkers" neno linalonisumbua kilugha!

"The Great Thinkers" neno linalonisumbua kilugha!

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Habari wanajf!
The great thinkers neno hili limekua likinisumbua kimantiki!
Sina tatizo nalo katika morphological rules wala syntax yake bali its semantic components of the phrase word!(meaning) NAOMBENI MSAADA WA ELIMU ILI NIONGEZEE TENA!
Kama ningeombwa ushauri nafikiri ningependekeza liwe the wise thinkers!
Nisaidieni!
 
ikumbukwe kua sina lengo la kuchallenge bali kujfunza
 
Ok ok naiona point yako, wawezatumia Great Sinkers badala ya thinkers
 
haya ngoja tuwasubiri wenye maarifa zaidi maana stylistically also seems *chosen
 
Habari wanajf!
The great thinkers neno hili limekua likinisumbua kimantiki!
Sina tatizo nalo katika morphological rules wala syntax yake bali its semantic components of the phrase word!(meaning) NAOMBENI MSAADA WA ELIMU ILI NIONGEZEE TENA!
Kama ningeombwa ushauri nafikiri ningependekeza liwe the wise thinkers!
Nisaidieni!

wise thinkers can not do kwa sababu wakati mtu anafikiria you can never know kama anafikiria "wisely" anachokitoa baada ya ku-think ndicho kinadetermine wisdom yake.. na hapo kitakachotoka kitakuwa sio thought tena bali kitu kama "wise answer", "wise decision" etc etc

Greater thinker on the other hand inadenote greatness in the act of thinking...inamtofautisha na a mere thinker in the sense kwamba great-thinker always anafikiria vitu constructive, vitu vikubwa vyenye uwezo wa kuprovide vital answers which can help the society...great thinkers wanawaza outside of the box..they are not bound by the thoughts of people who preceeded them..but they are innovative enough to go beyong the known limits which makes them to dare becoming different.

They are willing to confront the unknown worlds and they believe kwamba to every problem there is a solution..the only problem is on how to find solution na kwa kuwa to every problem there is a solution such a problem wont continue to be a problem for long as long as you think great about it!
 
Back
Top Bottom