Kama unamaanisha unataka kujifunza lugha ya kizungu (american english) kama inavyozungumzwa na watu weusi wa kawaida wa marekani, itakuwa shida kupata huduma hiyo popote pale duniani. Ni kama mzungu aseme anataka kujifunza kiswahili kama kinavyozungumzwa na mswahili wa kawaida Tanzania. Kuna tofauti ya lafudhi na matumizi ya maneno ukiwa Tanga, Pemba, Unguja, Dar, Songea, Mbeya, Iringa, Mwanza, Bukoba, nk.
Hakuna kitu kama "standard African-American English." Nakushauri nenda kwenye U-Tube usikilize vichekesho (comedy) wanavyofanya wamerikani weusi (Google African-American Comedians) na inaweza kukusaidia kujifunza matumiza na matamshi ya baadhi ya maneno. Comedians wazuri (utakaoweza kuwaelewa kirahisi) wa kuwasikiliza ni kama:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.