Arabic uses 28 different consonants, and each consonant is represented by a different letter.
Because the Arabic alphabet is written in cursive, most of the letters connect with each other. For...
Wasalamu salimini, natumaini mu kheri,
Swali hili si la dini, ninauliza shauri,
Limezonga akilini, nshachoka kufikiri,
Mume akipata jiko, mke amepata nini?
Tangu enzi na enzi, hii kauli si...
Ninauliza kwanini, aliyeanzisha nani?
Asiyefanya ni nani, na ukifanya kwanini?
Mtu kuuliza nini, atakayejibu nani?
Unapokula dagaa, kwanini uzihesabu?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Safarini
Tupia maneno mawili ya kiingereza ambayo karibu yanatamkika sawa japo maana na tarakimu zake ni tofauti.
1.Seat,sit
2.No,know
3.Leave,live
4.Eat,it
5.Calm,come
Endelezeni hapo wakuu..
Salaam,
Naomba kuuliza kama kuna tofauti kubwa kati ya phrases hizo mbili za "paka hula popo" na "popo hula paka"
ukifikiria kwa undani unaweza kugundua kitu katika hayo maneno na jitahidi...
Wanabodi amani iwe kwenu...
Kama unafuga mbwa ambaye habweki wala hang'ati tena wakati mwingine hulala fofofo 24 hours na huko mtaani unajivunia eti kwamba una mbwa hodari kiboko ya majizi ni...
Ninaposoma thread mbalimbali hapa JF,baadhi ya michango kwenye thread hizo hutumia msemo ufuatao: "..........umekula maharage ya wapi........."
Ni nini maana ya 'kula maharage ya sehemu fulani?'...
naomba mnisaidie maana ya vidahizo vifuatavyo1.kitivo2.mhanga3.miongo4.tumbua5.nyenyele6.matandu7.matlaba8.sandali9.uzimbezimbe10.kinyenyezi11.prediketa12.esperanto
Hivi vitambulisho vya kupigia kura kwa jina moja vinaitwaje? Maana huku unyamwezini vinaitwa vipalata. Sehemu nyingine vinaitwaje au ndo hivyohivyo? Msaada plz
Natafuta Kamusi ya Kiswahili -
Lingala au Lingala - Kiswahili.
Kwa yeyoye mwenye nayo au
anayefahamu inakopatikana, tafadhali
wasiliana nami:
0784744404 /0713744401
Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo:
"It has been a long time since I have seen you"
"Wow long time no see"
ama kwa kifaransa
"Ca fait longtemps qu'on se voit"
Asante sana...
Tuaangalie Kwa makini stadi Kwa kilinganisha na wakati wetu tunasoma hususani 2000 kurudi nyuma na za watoto wetu au wadogo zetu hata jamaa zetu zinakidhi mahitaj yao Kwa masomo ya mbele na Kwa...
Wakuu hii nimeikuta mahala nikaipenda naona niwawekee hapa jamvini.
MUNGU WETU TUPATIE, RAIS ALIYE SAFI
La mgambo limelia, tutangaze nia zetu
Tuache sasa kulia, tutetee nchi yetu
Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.