Mashine za BVR

Mashine za BVR

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
619
Reaction score
560
Hivi vitambulisho vya kupigia kura kwa jina moja vinaitwaje? Maana huku unyamwezini vinaitwa vipalata. Sehemu nyingine vinaitwaje au ndo hivyohivyo? Msaada plz
 
Back
Top Bottom