Paka hula Popo au Popo hula Paka?

Paka hula Popo au Popo hula Paka?

Capt Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,445
Reaction score
681
Salaam,

Naomba kuuliza kama kuna tofauti kubwa kati ya phrases hizo mbili za "paka hula popo" na "popo hula paka"

ukifikiria kwa undani unaweza kugundua kitu katika hayo maneno na jitahidi kufikiria nje ya kabrasha

Karibu
 
Back
Top Bottom