sintaksia ya kiswahili,

sintaksia ya kiswahili,

Mtoa hoja juani

New Member
Joined
May 23, 2015
Posts
1
Reaction score
0
jaman wadau naomba ufafanuzi wa nadharia ya eksi baa kakika kuchanganua sentensi changamano za kiswahili
 
jaman wadau naomba ufafanuzi wa nadharia ya eksi baa kakika kuchanganua sentensi changamano za kiswahili


Nadhani wewe ni mgeni kutoa hoja hapa.

USHAURI:
Mada kama hii yako ni mahsusi kwa waliobobea kwenye hii fani. Mtu kama mimi sijui hata ulichouliza hapa. Sasa ili maamuma kama mimi tuweze kutoa hata vijisenti vyetu viwili, inabidi ufafanue unauliza nini. La sivyo hii mada inaweza kudorora hapa kama vinara wa lugha watakapotokea.

Ni ushauri tu!
 
Back
Top Bottom