Habari wanajamvi,
Ninapata shida kwenye kujua matumizi ya hilo nano hapo juu "tia fora". Neno hili naamini linatumika kuelezea ufanyikaji wa kitu kupita kiasi/kupiliza. Tatizo langu ni moja hapa...
Kumekuwa na hoja nyingi za baadhi ya wadau wa kiswahili kuishawishi serikali kufuta kiingereza iwe lugha ya kufundishia hadi VYUO VIKUU na ibaki lama lugha ya kawaida kwa madai kuwa mtu anaelewa...
Natumaini mko poa wote nawapenda sana.
Kuna swali hili linanitatiza kidogo najua jukwaa la elimu lipo lakini watu hawapiti sana kule mimi ni mmojawapo ndio maana nimeleta hapa.
Naomba msaada wa...
Naomba msaada kwa tafsiri from swahili to english ya hivi vitu ili iliweze kuvitafuta madukani.
1. Pili pili manga
2. Kalafuu
3. Hiliki
Nashukuru kwa msaada wenu.
Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia
1. Mibono
2.Minyonyo
Natanguliza shukrani zangu za dhati...
Forever is a word we use to dream, we think It will never end, It will always be the same, but the act of forever in and of itself disallows forever to actually exist
Habari WanaJF?
Nimekuwa nikiona jamii ya watu wenye ulemavu wakikataa kutumika maneno ya Kiswahili katika ulemavu wao kwa madai kuwa yanaonyesha dharau kwao. Nimejiuliza sana kwa nini iwe ni...
Kwa muda sasa nimekua nikisikia watu mbali mbali wakisema 'mtu anapewa au anatunikiwa tunzo fulani'. Mimi kwa uzoefu wangu najua kwamba hilo neno ni Tuzo, lakini sasa kutokana na watu wengi sana...
Msaada kwa mdau yeyote mwenye kamusi softcopy either pdf format au link ya page yenye translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kwa ufupi Swahili - English dictionary.
Thanks in advance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.