Naomba tafsiri

Naomba tafsiri

Colea911

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
24
Reaction score
5
Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo:

"It has been a long time since I have seen you"

"Wow long time no see"

ama kwa kifaransa

"Ca fait longtemps qu'on se voit"

Asante sana waswahili. Pia swali la mwisho... kuna tofauti kati ya nimekosa na nimekosea... tofauti gani? Asante tena
 
Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo:

"It has been a long time since I have seen you"

"Wow long time no see"
Ngoja nijaribu na Kiingereza changu cha Idundulumwinyu Primary pale Usweke Iringa:

"It has been a long time since I have seen you" - Ni muda mrefu tangu nimekuona
"Wow long time no see" - Jamaani hatujaonana muda mrefu.

Nyani Ngabu kwa masahihisho tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Asante sana pia swali la mwisho... utafsiri wa hili:

"What happened to you?"
 
Ngoja nijaribu na Kiingereza changu cha Idundulumwinyu Primary pale Usweke Iringa:

"It has been a long time since I have seen you" - Ni muda mrefu tangu nimekuona
"Wow long time no see" - Jamaani hatujaonana muda mrefu.

Nyani Ngabu kwa masahihisho tafadhali

Mimekosa " nipale unapofanya kitu tofauti na inavyotakiwa na hujui ufanyeje kwa usahihi

Nimekosea " nipale unapofanya kitu kimakosa bila kukusudia wakati usahihi wake unaujua!
Aksante!

nisawa na maneno haya ya kiingereza "error and mistake "
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom